Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 18 · Aya ya 23

Al-Kahf 18:23

الكهف

وَلَا تَقُولَنَّ لِشَا۟ىْءٍ إِنِّى فَاعِلٌ ذَٰلِكَ غَدًا

Maana

Wala kamwe usiseme kwa jambo lolote lile: Hakika nitalifanya hilo kesho.

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

Wala usisema kamwe kwa jambo lolote lile: Hakika nitalifanya hilo kesho [23]

[23] Wala usiseme kabisa kwa jambo unalo azimia kulendea na kujihimu kulitenda: Mimi nitalifanya hilo baadae!

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Na usiseme juu ya kitu chochote unachoazimia kukifanya, «Mimi nitafanya kitu hicho kesho».

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

Al-Kahf

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net