Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 43 · Aya ya 6

Az-Zukhruf 43:6

الزخرف

وَكَمْ أَرْسَلْنَا مِن نَّبِىٍّ فِى ٱلْأَوَّلِينَ

Maana

Na Manabii wangapi tuliwatuma kwa watu wa zamani!

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

Na Manabii wangapi tuliwatuma kwa watu wa zamani! [6]

[6] Nasi tuliwatuma Manabii wengi kuyaendea mataifa yaliyo tangulia, basi hapana ajabu kitu kumtuma Mtume kwenu.

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Tumewatuma Manabii wengi katika karne za mwanzo zilizopita kabla ya watu wako, ewe Nabii.

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

Az-Zukhruf

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net