Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 43 · Aya ya 27

Az-Zukhruf 43:27

الزخرف

إِلَّا ٱلَّذِى فَطَرَنِى فَإِنَّهُۥ سَيَهْدِينِ

Maana

Isipokuwa yule aliyeniumba, kwani Yeye ataniongoa.'

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

Isipo kuwa yule aliye niumba, kwani Yeye ataniongoa. [27]

[27] Lakini mimi namuabudu Mwenyezi Mungu aliye niumba; kwani ni Yeye ndiye atakaye niongoza kwendea Njia ya Haki.

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Isipokuwa Yule Aliyeniumba, kwani Yeye Ataniafikia kufuata njia ya uongofu.

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

Az-Zukhruf

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net