Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 33 · Aya ya 61

Al-Ahzaab 33:61

الأحزاب

مَّلْعُونِينَ ۖ أَيْنَمَا ثُقِفُوٓا۟ أُخِذُوا۟ وَقُتِّلُوا۟ تَقْتِيلًا

Maana

Wamelaaniwa! Popote watakapoonekana, watakamatwa na watauliwa kabisa.

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

Wamelaanika! Popote watakapo onekana watakamatwa na watauliwa kabisa. [61]

[61] Hao wanastahiki laana na kufukuzwa. Kila watapo patikana wakamatwe na wauliwe moja kwa moja.

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Hali ya kuwa wamefukuzwa kwenye rehema za Allah Mtukufu; mahali popote watakapopatikana watekwe na wawe ni wenye kuuawa muda wa kuendelea kwao katika unafiki, na kueneza habari za urongo baina ya Waislamu kwa lengo la kuleta fitina na uharibifu.

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

Al-Ahzaab

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net