Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 19 · Aya ya 57

Maryam 19:57

مريم

وَرَفَعْنَـٰهُ مَكَانًا عَلِيًّا

Maana

Na tulimuinua mahali pa juu.

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

Na tulimuinua daraja ya juu.

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Na tukauinua utajo wake kwa viumbe wote na cheo chake kwa wale waliosogezwa karibu. Akawa ni mwenye utajo wa juu na, ni mwenye cheo cha juu.

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

Maryam

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net