Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 19 · Aya ya 56

Maryam 19:56

مريم

وَٱذْكُرْ فِى ٱلْكِتَـٰبِ إِدْرِيسَ ۚ إِنَّهُۥ كَانَ صِدِّيقًا نَّبِيًّا

Maana

Na mtaje katika Kitabu Idris. Hakika yeye alikuwa ni mkweli mno, Nabii.

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

Na mtaje katika Kitabu Idris. Hakika yeye alikuwa ni mkweli Nabii.

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Na utaje, ewe Mtume, katika hii Qur’ani habari ya Idrîs, amani imshukie. Yeye alikuwa ni mkweli mkubwa katika maneno yake na vitendo vyake, ni Nabii aliyeletewa wahyi.

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

Maryam

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net