Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 16 · Aya ya 19

An-Nahl 16:19

النحل

وَٱللَّهُ يَعْلَمُ مَا تُسِرُّونَ وَمَا تُعْلِنُونَ

Maana

Na Mwenyezi Mungu anayajua mnayoyaficha na mnayoyaweka hadharani.

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

Na Mwenyezi Mungu anayajua mnayo yaficha na mnayo yatangaza. [19]

[19] Na Mwenyezi Mungu kwa ujuzi wake ulio kusanya kila kitu, anajua mnayo yaficha na mnayo yadhihirisha. Na hapana chochote kinacho fichikana kwake cha siri yenu na jahari yenu.

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Na Allah Mtukufu, Aliyetakasika na kila aina ya upungufu, Anayajua matendo yenu yote, sawasawa yale mnayoyaficha ndani ya nafsi zenu au yale mnayoyafanya waziwazi mbele ya wengine, na Atawalipa kwayo.

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

An-Nahl

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net