Ameeleza Mtume rehema na amani ziwe juu yake ya kwamba peponi kuna mti ambao anatembea chini yake aliyepanda Farasi aliyeandaliwa kwa mashindano, na mwenda kasi zaidi katika kukimbia kwake miaka mia moja lakini hafiki mwisho wa yanakolalia matawi yake.
- Hapa kumebainishwa upana wa Pepo, na ukubwa wa miti yake.
صحيح البخاري (8/ 114) (6553). صحيح مسلم (4/ 2176) (2828). نزهة المتقين شرح رياض الصالحين، لمجموعة من الباحثين (2/ 1289). بهجة الناظرين شرح رياض الصالحين، لسليم الهلالي (3/ 345). تطريز رياض الصالحين، لفيصل مُبَارَك (ص1086).