Al-Jumu'a
Hii ni tarjama ya tafsiri ya as-Saʿdī kama IslamHouse.com inavyoichapisha katika saadi.islamenc.com, iliyosomwa kutoka kurasa za tovuti hiyo. Tovuti haisemi ni nani aliyeitafsiri kwa lugha nyingine wala inafuata toleo gani lililochapishwa, na haitaji masharti ya kuchukua matini yake, kwa hiyo haki ya kuionyesha haijathibitishwa. Hakuna aliyeilinganisha na kitabu kilichochapishwa, na hakuna mwanazuoni aliyeihakiki. Kila kifungu kipo kando ya aya inazozifafanua, ambazo ni matini ya Qur’ani ya Tanzil, inavyoonekana huko; aya ambayo tovuti haitoi ufafanuzi wake yenyewe inakaa pamoja na kifungu kilichotangulia, na faharasa inataja kila aya ya aina hiyo. Sabīl haikuandika wala kutafsiri kwa lugha nyingine chochote kati yake.
Maandishi kutokasaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)ilichukuliwa 2026-10-22
ذَٰلِكَ فَضْلُ ٱللَّهِ يُؤْتِيهِ مَن يَشَآءُ ۚ وَٱللَّهُ ذُو ٱلْفَضْلِ ٱلْعَظِيمِ 4
{4} Haya ni katika nguvu zake na hekima yake. Kwa kuwa hakuwaacha waja wake wakiwa wamepuuzwa au bure tu. Bali aliwatuma Mitume miongoni mwao na akawaamrisha na akawakataza, na hayo ni katika [fadhila kubwa za Mwenyezi Mungu] anazompa amtakaye katika waja wake, nazo ni bora kuliko fadhila zake juu yao kwa afya ya kimwili, riziki kunjufu, na neema nyinginezo za kidunia. Kwa hivyo, hakuna kitu bora kuliko neema ya dini, ambayo ndiyo kiini cha kufaulu na furaha ya milele.