Ruka hadi kwenye maudhui
Tafsir As-Saadi - Swahili · An-Nisaa
Sura ya 4

An-Nisaa

Hii ni tarjama ya tafsiri ya as-Saʿdī kama IslamHouse.com inavyoichapisha katika saadi.islamenc.com, iliyosomwa kutoka kurasa za tovuti hiyo. Tovuti haisemi ni nani aliyeitafsiri kwa lugha nyingine wala inafuata toleo gani lililochapishwa, na haitaji masharti ya kuchukua matini yake, kwa hiyo haki ya kuionyesha haijathibitishwa. Hakuna aliyeilinganisha na kitabu kilichochapishwa, na hakuna mwanazuoni aliyeihakiki. Kila kifungu kipo kando ya aya inazozifafanua, ambazo ni matini ya Qur’ani ya Tanzil, inavyoonekana huko; aya ambayo tovuti haitoi ufafanuzi wake yenyewe inakaa pamoja na kifungu kilichotangulia, na faharasa inataja kila aya ya aina hiyo. Sabīl haikuandika wala kutafsiri kwa lugha nyingine chochote kati yake.

Maandishi kutokasaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)ilichukuliwa 2026-10-22

Aya ya 55

فَمِنْهُم مَّنْ ءَامَنَ بِهِۦ وَمِنْهُم مَّن صَدَّ عَنْهُ ۚ وَكَفَىٰ بِجَهَنَّمَ سَعِيرًا 55

55} “Basi miongoni mwao kuna yule aliyemwamini,” yani alimwamini Muhammad - rehema na amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake. - Basi akaipata kwa sababu ya hilo furaha ya kidunia na kufaulu kwa kiakhera. “Na miongoni mwao kuna yule aliyemkufuru” kwa ukaidi, na dhuluma, na husuda, kwa hivyo akapata kwa sababu ya hilo taabu ya duniani na masaibu yake ambayo ni baadhi ya athari za maasia yao. “Na Jahannamu inatosha kuwa ndio moto wenye mwako mkali.” Itawawakia kwa mwako mkali yule aliyemkufuru Mwenyezi Mungu na akaukanusha unabii wa Manabii wake miongoni mwa Mayahudi, na Wakristo na wasiokuwa wao katika aina nyinginezo za makafiri.