طه
هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.
النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22
ٱذْهَبْ إِلَىٰ فِرْعَوْنَ إِنَّهُۥ طَغَىٰ ٢٤
{24} Mwenyezi Mungu alipomfunulia Musa, na akamfanya kuwa nabii, na akamwonyesha ishara zinazong'aa, akamtuma kwa Firauni, mfalme wa Misri, na akasema, “Nenda kwa Firauni. Hakika yeye amepindukia mipaka." Yaani, ameasi na akapindukia mipaka katika ukafiri, uharibifu, kujiinua juu sana katika ardhi, na kuwakandamiza wanyonge, hadi akadai kwamba yeye ni mola na mungu - Mwenyezi Mungu amuangamize. Na kuvuka kwake huku mipaka ni sababu ya kuangamia kwake, lakini kwa sababu ya rehema ya Mwenyezi Mungu, hekima yake, na uadilifu wake kwamba hamuadhibu yeyote isipokuwa baada ya kumsimamishia hoja kwa kumtumia mjumbe.