طه
هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.
النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22
لِنُرِيَكَ مِنْ ءَايَـٰتِنَا ٱلْكُبْرَى ٢٣
{23} Mwenyezi Mungu akasema, "Basi hizi ni hoja mbili kutoka kwa Mola wako Mlezi zimuendee Firauni na wakuu wa umma wake. Hakika hao walikuwa kaumu wavukao mipaka." "Ili tukuonyeshe baadhi ya ishara zetu kubwa." Yaani, tulifanya hayo tuliyoyataja ya kugeuza fimbo kuwa nyoka mwenye kwenda mbio, na mkono kutoka huku ni mweupe kwa watazamaji, ili tukuonyeshe katika ishara zetu kubwa zinazoashiria usahihi wa ujumbe wako na uhakika wa yale uliyokuja nayo, ili moyo wako utulie, na elimu yako izidi, na uwe na imani juu ya ahadi ya Mwenyezi Mungu kwako ya ulinzi na msaada, na ili ziwe ni hoja na ushahidi kwa wale uliotumwa kwao.