الإسراء
هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.
النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22
وَقُلْ جَآءَ ٱلْحَقُّ وَزَهَقَ ٱلْبَـٰطِلُ ۚ إِنَّ ٱلْبَـٰطِلَ كَانَ زَهُوقًا ٨١
{81} Na kauli yake, "Na sema: Haki, imefika, na batili imetoweka." Na haki ni yale aliyomfunulia Mwenyezi Mungu Mtume wake Muhammad – rehema na amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake, - na akamwamuru kuisema na kuitangaza kwamba: Hakika haki imekuja, ambayo hakuna kitu kinachoweza kusimama mbele yake, na batili imetoweka. Yaani, imeisha na kutoweka. "Hakika batili lazima itoweke!" Yaani, hii ndiyo sifa ya batili. Lakini inaweza kuwa na nguvu na umaarufu ikiwa haki haikabiliani nayo. Na pindi haki inapokuja, batili inatoweka, kwa hivyo haibaki kuwa na harakati yoyote. Na ndiyo maana batili haiwi maarufu isipokuwa katika nyakati fulani tu na maeneo ambayo hayana elimu juu ya ishara za Mwenyezi Mungu na hoja zake zilizo wazi. Na kauli yake,