Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 89 · Aya ya 17

Al-Fajr 89:17

الفجر

كَلَّا ۖ بَل لَّا تُكْرِمُونَ ٱلْيَتِيمَ

Maana

Sivyo hivyo! Bali nyinyi hamuwakirimu mayatima.

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

Sivyo hivyo! Bali nyinyi hamuwakirimu mayatima, [17]

[17] Wacheni mtindo huo! Mambo siyo hayo kama msemavyo; bali nyinyi hamumkirimu yatima;

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Hali ya mambo si kama anavyodhania binadamu huyu, kwani mtu hutukuzwa kwa kumtii Allah Mtukufu, na hufanywa mnyonge kwa kumuasi Allah Mtukufu. Bali nyinyi hamuwakirimu mayatima na kuwatendea wema.

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

Al-Fajr

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net