Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 84 · Aya ya 24

Al-Inshiqaaq 84:24

الإنشقاق

فَبَشِّرْهُم بِعَذَابٍ أَلِيمٍ

Maana

Basi wabashirie adhabu chungu!

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

Basi wabashirie adhabu chungu! [24]

[24] Basi wabashirie, kwa kejeli, kuwa watapata adhabu ya kutia uchungu.

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Basi wape bishara, ewe Mtume, kuwa Allah Mtukufu, Aliyetukuka na kuwa juu, Amewaandalia adhabu yenye uchungu.

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

Al-Inshiqaaq

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net