Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 84 · Aya ya 16

Al-Inshiqaaq 84:16

الإنشقاق

فَلَآ أُقْسِمُ بِٱلشَّفَقِ

Maana

Basi ninaapa kwa wekundu wa jua linapokuchwa.

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

Basi ninaapa kwa wekundu wa jua linapo kuchwa, [16]

[16] Basi naapa kiapo cha mkazo kwa wekundu wa mbingu baada ya kuchwa jua!

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Allah Mtukufu Ameapa kwa wekundu wa pembe za mbingu wakati wa kuzama jua.

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

Al-Inshiqaaq

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net