Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 73 · Aya ya 12

Al-Muzzammil 73:12

المزمل

إِنَّ لَدَيْنَآ أَنكَالًا وَجَحِيمًا

Maana

Hakika Sisi tunazo pingu nzito na Moto unaowaka kwa ukali kabisa!

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

Hakika Sisi tunazo pingu nzito na Moto unao waka kwa ukali kabisa! [12]

[12] Huko Akhera tumewawekea wanao kadhibisha pingu nzito, na Moto wa kuunguza,

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Kwa hakika wao watapata kwetu huko Akhera pingu nzito na Moto wenye kuwaka ambao watachomwa nao.

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

Al-Muzzammil

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net