Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 7 · Aya ya 118

Al-A'raaf 7:118

الأعراف

فَوَقَعَ ٱلْحَقُّ وَبَطَلَ مَا كَانُوا۟ يَعْمَلُونَ

Maana

Basi haki ikathibiti na yakabatilika yale waliyokuwa wakiyatenda.

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

Kweli ikathibiti na yakabat'ilika waliyo kuwa wakiyatenda. [118]

[118] Basi Haki ikathibiti na kudhihiri upande wa Musa a.s. na ukabwatika udanganyifu wa wachawi.

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Hapo haki ikajitokeza na ikafunuka kwa aliyehudhuria na kuiona kuhusu mambo ya Mûsã, (amani imshukie,) na kuwa yeye ni Mtume wa Allah Mtukufu, analingania haki, na ukabatilika urongo waliokuwa wakiufanya.

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

Al-A'raaf

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net