Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 7 · Aya ya 112

Al-A'raaf 7:112

الأعراف

يَأْتُوكَ بِكُلِّ سَـٰحِرٍ عَلِيمٍ

Maana

Wakujie na kila mchawi ajuaye vyema.

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

Wakuletee kila mchawi mjuzi. [112]

[112] Wakuletee kila mwanachuoni wa ilimu za uchawi. Na wao watakufichulia nini khasa hakika ya aliyo kuja nayo Musa, asije akafitinika yeyote.

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Ili wakukusanyie kila mchawi mwenye ujuzi mwingi wa uchawi.

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

Al-A'raaf

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net