Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 68 · Aya ya 37

Al-Qalam 68:37

القلم

أَمْ لَكُمْ كِتَـٰبٌ فِيهِ تَدْرُسُونَ

Maana

Au mnacho kitabu ambacho ndani yake mnasoma?

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

Au mnacho kitabu ambacho ndani yake mnasoma? [37]

[37] Kwani mnacho kitabu kitokacho kwa Mwenyezi Mungu mnacho kisoma,

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Au nyinyi mna kitabu kilichoteremshwa kutoka mbinguni, ambacho mnakuta ndani yake kuwa mtiifu ni kama muasi, mkawa mnayasoma hayo mnayoyasema?

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

Al-Qalam

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net