Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 68 · Aya ya 36

Al-Qalam 68:36

القلم

مَا لَكُمْ كَيْفَ تَحْكُمُونَ

Maana

Mna nini? Mnahukumu vipi?

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

Mna nini? Mnahukumu vipi? [36]

[36] Vipi mnahukumia mfano wa hukumu kama hii ya dhulma?

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Mna nini nyinyi? Vipi mnatoa uamuzi huu wa kidhalimu, mkalinganisha baina yao katika malipo?

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

Al-Qalam

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net