Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 56 · Aya ya 80

Al-Waaqia 56:80

الواقعة

تَنزِيلٌ مِّن رَّبِّ ٱلْعَـٰلَمِينَ

Maana

Ni uteremsho unaotoka kwa Mola Mlezi wa walimwengu wote.

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

Ni uteremsho unao toka kwa Mola Mlezi wa walimwengu wote. [80]

[80] imeteremshwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu Mola Mlezi wa viumbe vyote.

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Na hii Qur’ani tukufu imeteremshwa kutoka kwa Mola wa viumbe vyote, kwani ndiyo haki isiyo na shaka ndani yake.

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

Al-Waaqia

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net