Al-Waaqia 56:79
الواقعةلَّا يَمَسُّهُۥٓ إِلَّا ٱلْمُطَهَّرُونَ
Hapana akigusaye ila waliotakaswa.
Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com
Hapana akigusaye ila walio takaswa. [79]
[79] Hawaigusi Qur'ani Tukufu ila walio t'ahirika na najisi na hadathi, vitengua udhu;
Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com
Hawaigusi Qur’ani isipokuwa malaika watukufu ambao Allah Mtukufu Amewasafisha na aibu na madhambi. Na pia hawaigusi isipokuwa watu waliojitwaharisha na ushirikina na janaba na ukosefu wa udhu.
Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com
Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net