Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 53 · Aya ya 44

An-Najm 53:44

النجم

وَأَنَّهُۥ هُوَ أَمَاتَ وَأَحْيَا

Maana

Na kwamba Yeye ndiye anayefisha na kuhuisha.

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

Na kwamba Yeye ndiye anaye fisha na kuhuisha. [44]

[44] Na hakika ni Yeye, ndiye Mwenye kuondoa uhai, na kuuleta.

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Na kwamba Yeye Ndiye Anayemfisha Anayetaka afe miongoni mwa viumbe Vyake na Ndiye anayemhuisha Anayetaka ahuike miongoni mwao. Basi Yeye Ndiye Aliyepwekeka, kutakasika ni Kwake, kwa kuhuisha na kufisha.

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

An-Najm

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net