Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 52 · Aya ya 30

At-Tur 52:30

الطور

أَمْ يَقُولُونَ شَاعِرٌ نَّتَرَبَّصُ بِهِۦ رَيْبَ ٱلْمَنُونِ

Maana

Au wanasema: Huyu ni mtunga mashairi, tunamtarajia kupatilizwa na dahari.

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

Au wanasema: Huyu ni mtunga mashairi, tunamtarajia kupatilizwa na dahari. [30]

[30] Bali ati wanasema huyu ni mtunga mashairi, tunaye mngojea afikiwe na mauti!

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Na wanakuambia hao washirikina, (ewe Mtume), «wewe ni mshairi, tunangojea ashukiwe na mauti»?

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

At-Tur

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net