Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 4 · Aya ya 67

An-Nisaa 4:67

النساء

وَإِذًا لَّـَٔاتَيْنَـٰهُم مِّن لَّدُنَّآ أَجْرًا عَظِيمًا

Maana

Na hapo tungewapa malipo makubwa kutoka kwetu.

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

Na hapo tunge wapa malipo makubwa kutoka kwetu. [67]

[67] Na lau kuwa wamesimama juu ya Haki aliyo ilazimisha Mwenyezi Mungu kwa kadri ya uweza wao, Mwenyezi Mungu angeli wapa malipo makubwa kwa fadhila yake.

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Na tungaliwapa thawabu kubwa kutoka kwetu, duniani na Akhera,

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

An-Nisaa

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net