Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 24 · Aya ya 49

An-Noor 24:49

النور

وَإِن يَكُن لَّهُمُ ٱلْحَقُّ يَأْتُوٓا۟ إِلَيْهِ مُذْعِنِينَ

Maana

Na ikiwa haki ni yao, wanamjia kwa kutii.

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

Na ikiwa haki ni yao, wanamjia kwa kut'ii. [49]

[49] Ama wakijua kuwa haki iko upande wao basi humjia Mtume mbio mbio ili awahukumu baina yao na makhasimu zao.

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Na iwapo haki iko upande wao, basi wao wanakuja kwa Nabii, (rehema na amani zimshukie), wakiwa watiifu na kuwa tayari kuifuata hukumu yake, kwa kutambua kwao kwamba yeye atatoa uamuzi wa haki.

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

An-Noor

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net