Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 23 · Aya ya 98

Al-Muminoon 23:98

المؤمنون

وَأَعُوذُ بِكَ رَبِّ أَن يَحْضُرُونِ

Maana

Na ninajikinga kwako, Mola wangu Mlezi, wasinikaribie.

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

Na najikinga kwako, Mola wangu Mlezi, wasinikaribie. [98]

[98] Na ewe Mola Mlezi! Najilinda kwako wasiwe nami katika kitendo chochote ili kitendo hicho kiwe kimetakasika, safi, kwa ajili ya ridhaa yako tukufu.

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Na ninajilinda kwako, ewe Mola wangu, na kuingiliwa na wao kwenye mambo yangu.

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

Al-Muminoon

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net