Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 23 · Aya ya 95

Al-Muminoon 23:95

المؤمنون

وَإِنَّا عَلَىٰٓ أَن نُّرِيَكَ مَا نَعِدُهُمْ لَقَـٰدِرُونَ

Maana

Na hakika Sisi ni waweza wa kukuonyesha tuliyowaahidi.

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

Na hakika Sisi ni waweza wa kukuonyeshsa tuliyo waahidi. [95]

[95] Na Sisi tunaweza kwa utimilivu kukuonyesha adhabu tulio waahidi ikiwateremkia. Basi wewe tuwa ujue kuwa tutashinda.

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Na kwa hakika sisi tunaweza kukuonesha yale tunayowaahidi ya adhabu.

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

Al-Muminoon

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net