Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 23 · Aya ya 9

Al-Muminoon 23:9

المؤمنون

وَٱلَّذِينَ هُمْ عَلَىٰ صَلَوَٰتِهِمْ يُحَافِظُونَ

Maana

Na ambao Swala zao wanazihifadhi.

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

Na ambao Swala zao wanazihifadhi . [9]

[9] Na wawe wenye kudumisha kutimiza Swala kwa nyakati zake, na kuzitekeleza kwa nguzo zake na unyenyekevu wake, mpaka yapatikane makusudio yake. Nayo ni kuachisha uchafu na maovu.

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Na wale ambao daima wanazitekeleza Swala zao kwa nyakati zake na kwa namna iliyowekwa na Sheria iliyokuja kutoka kwa Nabii, rehema za Allah Mtukufu na amani zimshukie.

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

Al-Muminoon

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net