Ruka hadi kwenye maudhui
Sura ya 23 · Aya ya 22

Al-Muminoon 23:22

المؤمنون

وَعَلَيْهَا وَعَلَى ٱلْفُلْكِ تُحْمَلُونَ

Maana

Na juu yao na juu ya marikebu mnabebwa.

Maana: Swahili Translation - Rowad Translation Center. Issued by the Islamic Content Service Association in Languages Toleo 1.0.5, 2025-12-17. QuranEnc.com

Maana

Na juu yao na juu ya marikebu mnabebwa. [22]

[22] Na juu ya hawa wanyama wa kufuga na marikebu nyinyi mnapanda, na mnapakia mizigo. Basi Sisi tumekuumbieni njia za usafirishaji na upakizi nchi kavu na baharini. Na kwa hizo mnapata kuwasiliana nyinyi kwa nyinyi.

Maana: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani. Translated by Ali Mohsen Al-Barwani Toleo 1.0.1, 2025-06-25. QuranEnc.com

Maana

Na juu ya ngamia na majahazi, katika nchi kavu na baharini mnabebwa.

Maana: Swahili Translation - Abdullah Muhammad and Nasser Khamis. Translated by Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr & Shaykh Nasser Khamis Toleo 1.0.1, 2026-03-12. QuranEnc.com

Al-Muminoon

Kiarabu ni maandishi ya Tanzil, bila kubadilishwa. Maana ni matoleo ya wachapishaji wake, bila kubadilishwa; wahakiki wa Sabīl wenyewe bado hawajazikagua. Kiarabu: maandishi ya Uthmani ya Tanzil, toleo la 1.1. Chanzo: tanzil.net