Ameeleza Mtume rehema na amani ziwe juu yake ya kwamba waadhini wote ambao huwaita watu kuja katika swala ndio watakuwa watu wenye shingo ndefu zaidi siku ya Kiyama kwa sababu ya utukufu wa amali yao, na wingi wa kheri zao, na ukubwa wa malipo yao.
- Ubora wa Adhana na himizo lake.
- Kumebainishwa utukufu wa waadhini, na daraja lao la juu siku ya Kiyama.
صحيح مسلم (1/ 290) (387). بهجة الناظرين شرح رياض الصالحين، لسليم الهلالي (2/ 251). شرح رياض الصالحين، لابن عثيمين (5/ 31). شرح صحيح مسلم، النووي (4/ 89). نزهة المتقين شرح رياض الصالحين، لمجموعة من الباحثين (1/ 768).