Ruka hadi kwenye maudhui
Tafsir As-Saadi - Swahili · Al-Qalam
Sura ya 68

Al-Qalam

Hii ni tarjama ya tafsiri ya as-Saʿdī kama IslamHouse.com inavyoichapisha katika saadi.islamenc.com, iliyosomwa kutoka kurasa za tovuti hiyo. Tovuti haisemi ni nani aliyeitafsiri kwa lugha nyingine wala inafuata toleo gani lililochapishwa, na haitaji masharti ya kuchukua matini yake, kwa hiyo haki ya kuionyesha haijathibitishwa. Hakuna aliyeilinganisha na kitabu kilichochapishwa, na hakuna mwanazuoni aliyeihakiki. Kila kifungu kipo kando ya aya inazozifafanua, ambazo ni matini ya Qur’ani ya Tanzil, inavyoonekana huko; aya ambayo tovuti haitoi ufafanuzi wake yenyewe inakaa pamoja na kifungu kilichotangulia, na faharasa inataja kila aya ya aina hiyo. Sabīl haikuandika wala kutafsiri kwa lugha nyingine chochote kati yake.

Maandishi kutokasaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)ilichukuliwa 2026-10-22

Aya ya 9

وَدُّوا۟ لَوْ تُدْهِنُ فَيُدْهِنُونَ 9

{9} Ndiyo maana alisema: "Wanatamani." Yaani, washirikina walitamani kwamba, "lau ungelainisha;" yaani, uwafikiane nao katika baadhi ya yale waliyo nayo: ima kwa kauli, au kwa vitendo, au kwa kunyamazia yale yapasayo kusemwa "ili nao wakulainishie." Lakini wewe itangaze amri ya Mwenyezi Mungu, na idhihirishe dini ya Uislamu. Kwa maana ukamilifu wa kuidhihiri ni kukanusha yale yanayoipinga na kaonyesha kasoro za yale yanayopingana nayo.