Ruka hadi kwenye maudhui
Tafsir As-Saadi - Swahili · Al-Qamar
Sura ya 54

Al-Qamar

Hii ni tarjama ya tafsiri ya as-Saʿdī kama IslamHouse.com inavyoichapisha katika saadi.islamenc.com, iliyosomwa kutoka kurasa za tovuti hiyo. Tovuti haisemi ni nani aliyeitafsiri kwa lugha nyingine wala inafuata toleo gani lililochapishwa, na haitaji masharti ya kuchukua matini yake, kwa hiyo haki ya kuionyesha haijathibitishwa. Hakuna aliyeilinganisha na kitabu kilichochapishwa, na hakuna mwanazuoni aliyeihakiki. Kila kifungu kipo kando ya aya inazozifafanua, ambazo ni matini ya Qur’ani ya Tanzil, inavyoonekana huko; aya ambayo tovuti haitoi ufafanuzi wake yenyewe inakaa pamoja na kifungu kilichotangulia, na faharasa inataja kila aya ya aina hiyo. Sabīl haikuandika wala kutafsiri kwa lugha nyingine chochote kati yake.

Maandishi kutokasaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)ilichukuliwa 2026-10-22

Aya ya 2

وَإِن يَرَوْا۟ ءَايَةً يُعْرِضُوا۟ وَيَقُولُوا۟ سِحْرٌ مُّسْتَمِرٌّ 2

{2} Huku si kukataa kwao Aya hii peke yake, bali ni kila Aya inayowajia. Kwani wao wako tayari kuikabili kwa kuikataa na kuirudiq, na ndio maana Akasema: "Na wakiona Ishara, hugeuka upande": Kiwakilishi hakikurejelea juu ya kupasuka kwa mwezi,wala hakusema: Na lau wakiiona], bali Yeye alisema: "Na wakiona Ishara, hugeuka upande." Makusudio yao si kufuata haki na uongofu, bali ni kufuata matamanio yao.