Ruka hadi kwenye maudhui
Tafsir As-Saadi - Swahili · At-Tur
Sura ya 52

At-Tur

Hii ni tarjama ya tafsiri ya as-Saʿdī kama IslamHouse.com inavyoichapisha katika saadi.islamenc.com, iliyosomwa kutoka kurasa za tovuti hiyo. Tovuti haisemi ni nani aliyeitafsiri kwa lugha nyingine wala inafuata toleo gani lililochapishwa, na haitaji masharti ya kuchukua matini yake, kwa hiyo haki ya kuionyesha haijathibitishwa. Hakuna aliyeilinganisha na kitabu kilichochapishwa, na hakuna mwanazuoni aliyeihakiki. Kila kifungu kipo kando ya aya inazozifafanua, ambazo ni matini ya Qur’ani ya Tanzil, inavyoonekana huko; aya ambayo tovuti haitoi ufafanuzi wake yenyewe inakaa pamoja na kifungu kilichotangulia, na faharasa inataja kila aya ya aina hiyo. Sabīl haikuandika wala kutafsiri kwa lugha nyingine chochote kati yake.

Maandishi kutokasaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)ilichukuliwa 2026-10-22

Aya ya 28

إِنَّا كُنَّا مِن قَبْلُ نَدْعُوهُ ۖ إِنَّهُۥ هُوَ ٱلْبَرُّ ٱلرَّحِيمُ 28

{28} "Hakika sisi zamani tulikuwa tukimwomba Yeye tu" atulinde mbali na adhabu ya upepo wa Moto, na atufikishe kwenye neema. Na hili linajumuisha dua ya ibada na dua ya kuomba kitu. Yaani, hatukuacha kujikurubisha kwake kwa njia mbalimbali za ibada, na tukimwomba Yeye kila wakati. "Hakika Yeye ndiye Mwema Mwingi wa kurehemu." Katika wema wake [juu yetu] na rehema yake kwetu ni kwamba ameturidhia na akatuingiza katika bustani za mbinguni, na akatulinda mbali na ghadhabu yake na Moto.