Ruka hadi kwenye maudhui
Tafsir As-Saadi - Swahili · Az-Zukhruf
Sura ya 43

Az-Zukhruf

Hii ni tarjama ya tafsiri ya as-Saʿdī kama IslamHouse.com inavyoichapisha katika saadi.islamenc.com, iliyosomwa kutoka kurasa za tovuti hiyo. Tovuti haisemi ni nani aliyeitafsiri kwa lugha nyingine wala inafuata toleo gani lililochapishwa, na haitaji masharti ya kuchukua matini yake, kwa hiyo haki ya kuionyesha haijathibitishwa. Hakuna aliyeilinganisha na kitabu kilichochapishwa, na hakuna mwanazuoni aliyeihakiki. Kila kifungu kipo kando ya aya inazozifafanua, ambazo ni matini ya Qur’ani ya Tanzil, inavyoonekana huko; aya ambayo tovuti haitoi ufafanuzi wake yenyewe inakaa pamoja na kifungu kilichotangulia, na faharasa inataja kila aya ya aina hiyo. Sabīl haikuandika wala kutafsiri kwa lugha nyingine chochote kati yake.

Maandishi kutokasaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)ilichukuliwa 2026-10-22

Aya ya 83

فَذَرْهُمْ يَخُوضُوا۟ وَيَلْعَبُوا۟ حَتَّىٰ يُلَـٰقُوا۟ يَوْمَهُمُ ٱلَّذِى يُوعَدُونَ 83

{83} "Basi waache wapige porojo wakicheza" Yaani: wapige porojo ya batili na kucheza na yasiyowezekana. Elimu zao hizo ni za kuwadhuru na wala hazina manufaa, nazo ni kuzama na kupekua elimu ambazo kwazo wanaipinga haki na yale waliyokuja nayo Mitume. Na matendo yao hayo ni mchezo na upumbavu usiozitakasa nafsi zao wala haziwapi maarifa, na ndiyo sababu akawaahidi kwa yale yaliyo mbele yao Siku ya Kiyama, akasema: "Mpaka waikute hiyo siku yao waliyoahidiwa" na hapo ndipo watajua ni nini walichopata cha taabu na adhabu ya kuendelea daima.