An-Nisaa
Hii ni tarjama ya tafsiri ya as-Saʿdī kama IslamHouse.com inavyoichapisha katika saadi.islamenc.com, iliyosomwa kutoka kurasa za tovuti hiyo. Tovuti haisemi ni nani aliyeitafsiri kwa lugha nyingine wala inafuata toleo gani lililochapishwa, na haitaji masharti ya kuchukua matini yake, kwa hiyo haki ya kuionyesha haijathibitishwa. Hakuna aliyeilinganisha na kitabu kilichochapishwa, na hakuna mwanazuoni aliyeihakiki. Kila kifungu kipo kando ya aya inazozifafanua, ambazo ni matini ya Qur’ani ya Tanzil, inavyoonekana huko; aya ambayo tovuti haitoi ufafanuzi wake yenyewe inakaa pamoja na kifungu kilichotangulia, na faharasa inataja kila aya ya aina hiyo. Sabīl haikuandika wala kutafsiri kwa lugha nyingine chochote kati yake.
Maandishi kutokasaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)ilichukuliwa 2026-10-22
فَكَيْفَ إِذَآ أَصَـٰبَتْهُم مُّصِيبَةٌۢ بِمَا قَدَّمَتْ أَيْدِيهِمْ ثُمَّ جَآءُوكَ يَحْلِفُونَ بِٱللَّهِ إِنْ أَرَدْنَآ إِلَّآ إِحْسَـٰنًا وَتَوْفِيقًا 62
{62} "Basi inakuwa vipi" hali ya hawa waliopotea, "unapowasibu msiba kwa sababu ya yale iliyotanguliza mikono yao" miongoni mwa maasia. Na miongoni mwake ni kutafuta hukumu ya Twaghut. "Kisha wanakujia" wakipeana udhuru kwa yale waliyofanya. Na wanasema, "Hatukutaka isipokuwa wema na mapatano." Yani hatukukusudia katika hilo isipokuwa kuwafanyia wema waliogombana na kuwapatanisha. Nao ni waongo katika hilo. Kwani, kwa hakika wema wote ni kutafuta hukumu kwa Mwenyezi Mungu na Mtume wake. Na ni nani mbora zaidi wa hukumu kuliko Mwenyezi Mungu kwa kaumu wenye yakini?