An-Naml
Hii ni tarjama ya tafsiri ya as-Saʿdī kama IslamHouse.com inavyoichapisha katika saadi.islamenc.com, iliyosomwa kutoka kurasa za tovuti hiyo. Tovuti haisemi ni nani aliyeitafsiri kwa lugha nyingine wala inafuata toleo gani lililochapishwa, na haitaji masharti ya kuchukua matini yake, kwa hiyo haki ya kuionyesha haijathibitishwa. Hakuna aliyeilinganisha na kitabu kilichochapishwa, na hakuna mwanazuoni aliyeihakiki. Kila kifungu kipo kando ya aya inazozifafanua, ambazo ni matini ya Qur’ani ya Tanzil, inavyoonekana huko; aya ambayo tovuti haitoi ufafanuzi wake yenyewe inakaa pamoja na kifungu kilichotangulia, na faharasa inataja kila aya ya aina hiyo. Sabīl haikuandika wala kutafsiri kwa lugha nyingine chochote kati yake.
Maandishi kutokasaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)ilichukuliwa 2026-10-22
فَلَمَّا جَآءَهَا نُودِىَ أَنۢ بُورِكَ مَن فِى ٱلنَّارِ وَمَنْ حَوْلَهَا وَسُبْحَـٰنَ ٱللَّهِ رَبِّ ٱلْعَـٰلَمِينَ 8
{8} " Basi alipoufikia, ilinadiwa: Amebarikiwa aliye katika moto huu na walioko pembezoni mwake." Yaani, Mwenyezi Mungu mtukufu alimwita na akamwambia kwamba hapa ni mahali patakatifu palipobarikiwa. Na katika baraka zake ni kwamba Mwenyezi Mungu alipafanya kuwa mahali pa kumuongelesha Musa, na kumuita, na kumpa utume. "Na ametakasika Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa walimwengu wote;" kudhaniwa kuwa na mapungufu au mabaya. Bali Yeye ndiye mkamilifu katika sifa zake na matendo yake.