Ruka hadi kwenye maudhui
Tafsir As-Saadi - Swahili · Al-Furqaan
Sura ya 25

Al-Furqaan

Hii ni tarjama ya tafsiri ya as-Saʿdī kama IslamHouse.com inavyoichapisha katika saadi.islamenc.com, iliyosomwa kutoka kurasa za tovuti hiyo. Tovuti haisemi ni nani aliyeitafsiri kwa lugha nyingine wala inafuata toleo gani lililochapishwa, na haitaji masharti ya kuchukua matini yake, kwa hiyo haki ya kuionyesha haijathibitishwa. Hakuna aliyeilinganisha na kitabu kilichochapishwa, na hakuna mwanazuoni aliyeihakiki. Kila kifungu kipo kando ya aya inazozifafanua, ambazo ni matini ya Qur’ani ya Tanzil, inavyoonekana huko; aya ambayo tovuti haitoi ufafanuzi wake yenyewe inakaa pamoja na kifungu kilichotangulia, na faharasa inataja kila aya ya aina hiyo. Sabīl haikuandika wala kutafsiri kwa lugha nyingine chochote kati yake.

Maandishi kutokasaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)ilichukuliwa 2026-10-22

Aya ya 71

وَمَن تَابَ وَعَمِلَ صَـٰلِحًا فَإِنَّهُۥ يَتُوبُ إِلَى ٱللَّهِ مَتَابًا 71

{71} "Na aliyetubu na akafanya mema, basi hakika huyo ametubu kweli kweli kwa Mwenyezi Mungu." Kwa sababu huku ndiyo kurudi kwenye njia inayofikisha kwa Mwenyezi Mungu, ambayo ndiyo furaha yenyewe ya mja na kufaulu kwake. Kwa hivyo na aifanye kuwa safi kabisa kwa ajili yake, na aiondolee mambo yoyote mabovu. Na kinachokusudiwa na haya ni kuhimiza kuifanya toba kuwa kamili na kuifuatisha na mambo bora zaidi na matukufu yake, ili aweze kumjia yule aliyetubia kwake, naye amlipe kikamilifu malipo yake kulingana na ukamilifu wake.