Al-Furqaan
Hii ni tarjama ya tafsiri ya as-Saʿdī kama IslamHouse.com inavyoichapisha katika saadi.islamenc.com, iliyosomwa kutoka kurasa za tovuti hiyo. Tovuti haisemi ni nani aliyeitafsiri kwa lugha nyingine wala inafuata toleo gani lililochapishwa, na haitaji masharti ya kuchukua matini yake, kwa hiyo haki ya kuionyesha haijathibitishwa. Hakuna aliyeilinganisha na kitabu kilichochapishwa, na hakuna mwanazuoni aliyeihakiki. Kila kifungu kipo kando ya aya inazozifafanua, ambazo ni matini ya Qur’ani ya Tanzil, inavyoonekana huko; aya ambayo tovuti haitoi ufafanuzi wake yenyewe inakaa pamoja na kifungu kilichotangulia, na faharasa inataja kila aya ya aina hiyo. Sabīl haikuandika wala kutafsiri kwa lugha nyingine chochote kati yake.
Maandishi kutokasaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)ilichukuliwa 2026-10-22
وَقَالَ ٱلَّذِينَ كَفَرُوٓا۟ إِنْ هَـٰذَآ إِلَّآ إِفْكٌ ٱفْتَرَىٰهُ وَأَعَانَهُۥ عَلَيْهِ قَوْمٌ ءَاخَرُونَ ۖ فَقَدْ جَآءُو ظُلْمًا وَزُورًا 4
Yaani, na wakasema waliomkufuru Mwenyezi Mungu, kilichowalazimu ukafiri wao ni kusema juu ya Qur’ani na Mtume: Hakika Qur-ani hii ni uongo, kwamba Muhammad alisema uongo, na uzushi aliozusha dhidi ya Mwenyezi Mungu, na watu wengine wakamsaidia katika hilo. Mwenyezi Mungu aliwajibu kwa kusema kwamba hii ni kiburi kwa upande wao, na kujitolea kwa udhalimu na uongo ambao hauwezi kuingia akilini mwa mtu yeyote. Hao ndio watu wajuzi zaidi kuhusu hali ya Mtume – Mwenyezi Mungu amfikishie rehema na amani. Na ukamilifu wa ikhlasi yake, uaminifu wake, na uadilifu wake kamili, na kwamba yeye wala viumbe vingine haviwezi kuleta Qur-ani hii, ambayo ndiyo kauli tukufu na iliyotukuka, na kwamba hakukutana na yeyote wa kumsaidia katika hilo. "Hakika hawa wamekuja" na kauli hii bila ya haki, "na uongo."