Al-Anbiyaa
Hii ni tarjama ya tafsiri ya as-Saʿdī kama IslamHouse.com inavyoichapisha katika saadi.islamenc.com, iliyosomwa kutoka kurasa za tovuti hiyo. Tovuti haisemi ni nani aliyeitafsiri kwa lugha nyingine wala inafuata toleo gani lililochapishwa, na haitaji masharti ya kuchukua matini yake, kwa hiyo haki ya kuionyesha haijathibitishwa. Hakuna aliyeilinganisha na kitabu kilichochapishwa, na hakuna mwanazuoni aliyeihakiki. Kila kifungu kipo kando ya aya inazozifafanua, ambazo ni matini ya Qur’ani ya Tanzil, inavyoonekana huko; aya ambayo tovuti haitoi ufafanuzi wake yenyewe inakaa pamoja na kifungu kilichotangulia, na faharasa inataja kila aya ya aina hiyo. Sabīl haikuandika wala kutafsiri kwa lugha nyingine chochote kati yake.
Maandishi kutokasaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)ilichukuliwa 2026-10-22
قَالَ رَبِّى يَعْلَمُ ٱلْقَوْلَ فِى ٱلسَّمَآءِ وَٱلْأَرْضِ ۖ وَهُوَ ٱلسَّمِيعُ ٱلْعَلِيمُ 4
{4} Na Mwenyezi Mungu Mtukufu alikwisha yazungukwa kwa elimu yake yale waliyonong'onezana, na atawalipa juu yake. Na ndiyo maana akasema, "Alisema: Mola wangu Mlezi anayajua yasemwayo" yaliyofichika na yaliyodhihirika "mbinguni na katika ardhi" katika pande zake zote. "Na Yeye ni Mwenye kusikia yote" miongoni mwa sauti na kwa lugha tofauti tofauti na mahitaji tofauti tofauti. "Mwenye kujua vyema" yale yaliyo katika dhamira na siri zilizofichika mno.