Ruka hadi kwenye maudhui
Tafsir As-Saadi - Swahili · Yunus
Sura ya 10

Yunus

Hii ni tarjama ya tafsiri ya as-Saʿdī kama IslamHouse.com inavyoichapisha katika saadi.islamenc.com, iliyosomwa kutoka kurasa za tovuti hiyo. Tovuti haisemi ni nani aliyeitafsiri kwa lugha nyingine wala inafuata toleo gani lililochapishwa, na haitaji masharti ya kuchukua matini yake, kwa hiyo haki ya kuionyesha haijathibitishwa. Hakuna aliyeilinganisha na kitabu kilichochapishwa, na hakuna mwanazuoni aliyeihakiki. Kila kifungu kipo kando ya aya inazozifafanua, ambazo ni matini ya Qur’ani ya Tanzil, inavyoonekana huko; aya ambayo tovuti haitoi ufafanuzi wake yenyewe inakaa pamoja na kifungu kilichotangulia, na faharasa inataja kila aya ya aina hiyo. Sabīl haikuandika wala kutafsiri kwa lugha nyingine chochote kati yake.

Maandishi kutokasaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)ilichukuliwa 2026-10-22

Aya ya 41

وَإِن كَذَّبُوكَ فَقُل لِّى عَمَلِى وَلَكُمْ عَمَلُكُمْ ۖ أَنتُم بَرِيٓـُٔونَ مِمَّآ أَعْمَلُ وَأَنَا۠ بَرِىٓءٌ مِّمَّا تَعْمَلُونَ 41

{41} “Na wakikukadhibisha,” basi wewe endelea katika kulingania kwako, wala hakuna chochote juu yako katika hesabu yao, wala hakuna chochote juu yao katika hesabu yako, kila mmoja ana matendo yake. “Basi sema, "Mimi nina matendo yangu, na nyinyi mna matendo yenu. Nyinyi hamna mko mbali sana na yale ninayoyatenda, nami niko mbali sana na mnayoyatenda." Kama alivyosema Yeye Mtukufu, “Mwenye kutenda mema, basi ni kwa ajili ya nafsi yake, na mwenye kutenda mabaya, basi ni juu yake mwenyewe.”