پرش به محتوا
Tafsir As-Saadi - Swahili · Taa-Haa
سورهٔ ۲۰

Taa-Haa

این ترجمهٔ تفسیر سعدی است، همان‌گونه که IslamHouse.com آن را در saadi.islamenc.com منتشر می‌کند و از صفحه‌های آن سایت گرفته شده است. سایت نمی‌گوید چه کسی آن را ترجمه کرده و از کدام چاپ پیروی می‌کند، و برای برداشتن متن آن شرطی بیان نمی‌کند، پس حق نمایش آن تأیید نشده است. کسی آن را با کتاب چاپی مقایسه نکرده و عالمی آن را بررسی نکرده است. هر بخش در کنار آیه‌هایی آمده که دربارهٔ آن‌ها توضیح می‌دهد و این آیه‌ها متن قرآن از Tanzil است، همان‌گونه که آنجا هست؛ آیه‌ای که سایت توضیح جداگانه‌ای برایش نمی‌دهد با بخش پیش از خود می‌آید، و فهرست هر چنین آیه‌ای را نام می‌برد. سبیل چیزی از آن را ننوشته و ترجمه نکرده است.

متن ازsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)برداشته‌شده در 2026-10-22

آیه‌های ۱۰۵–۱۰۷

وَيَسْـَٔلُونَكَ عَنِ ٱلْجِبَالِ فَقُلْ يَنسِفُهَا رَبِّى نَسْفًا ۱۰۵ فَيَذَرُهَا قَاعًا صَفْصَفًا ۱۰۶ لَّا تَرَىٰ فِيهَا عِوَجًا وَلَآ أَمْتًا ۱۰۷

{105-107} Mwenyezi Mungu Mtukufu anaeleza kuhusu maafa ya Kiyama na mitetemeko ya ardhi na misukosuko ndani yake. Na akasema, ''Na watakuuliza kuhusu milima.'' Yaani, nini kitafanywa kwayo Siku ya Kiyama? Je Inabaki kama ilivyo au la? ''Kisha sema: Mola wangu Mlezi ataivurugavuruga.'' Yaani, anaitoa na kuing'oa katika sehemu yake, ikawa kama ukungu na mchanga, kisha anaiponda na kuifanya kuwa kama vumbi, kwa hivyo inafififa na kutoweka. Kisha anaisawazisha na ardhi, na anaifanya kuwa mavumbi; na anifanya Ardhi ''kuwa tambarare'' na iliyo na usawa. ''Hutaona ndani yake'' ewe mwenye kutazama, ''upotovu.'' Hii ni kutokana na usawa wake kamili. ''Hata kufa.'' Yaani, mabonde na sehemu, chini au juu, hivyo ardhi inadhihirika na kupanuka kwa ajili ya viumbe, na Mwenyezi Mungu huitanua muda wa ardhi ya milele, hivyo viko katika hali moja, mwitaji anavisikia, na macho yanapenya ndani yao.