Skip to content
Tafsir As-Saadi - Swahili · At-Tawba
Sūrah 9

At-Tawba

This is a translation of Tafsīr as-Saʿdī as IslamHouse.com publishes it at saadi.islamenc.com, read from that site’s pages. The site does not say who translated it or which printed edition it follows, and states no terms for taking its text, so the right to show it is not verified. Nobody has compared it with a printed book, and no scholar has reviewed it. Each passage stands beside the verses it comments on, which are the Qur’ān text of Tanzil, shown as it is there; a verse the site gives no commentary of its own stands with the passage before it, and the index names each such verse. Sabīl did not write or translate any of it.

Text fromsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)taken 2026-10-22

Verse 87

رَضُوا۟ بِأَن يَكُونُوا۟ مَعَ ٱلْخَوَالِفِ وَطُبِعَ عَلَىٰ قُلُوبِهِمْ فَهُمْ لَا يَفْقَهُونَ 87

{87} Yeye Mtukufu alisema, "Waliridhia kwamba wawe pamoja na wabakiao nyuma;" yaani, ni vipi waliziridhia nafsi zao kwamba wawe pamoja na wanawake wanaobakia nyuma bila ya kwenda katika jihadi? Je, wana ufahamu au akili iliyowaonyesha hilo, au "Mwenyezi Mungu alizifungia nyoyo zao?" Kwa hivyo hazielewi heri wala hazina ndani yake utashi wa kutenda yaliyo mema na kufaulu. Kwa hivyo hawafahamu masilahi yao. Kwani wangefahamu uhakika wa kufahamu, basi hawangeziridhia nafsi zao hali hii ambayo inawaweka chini ya vyeo vya wanaume.