انتقل إلى المحتوى
Tafsir As-Saadi - Swahili · التوبة
السورة ٩

التوبة

هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.

النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22

الآية ٥٦

وَيَحْلِفُونَ بِٱللَّهِ إِنَّهُمْ لَمِنكُمْ وَمَا هُم مِّنكُمْ وَلَـٰكِنَّهُمْ قَوْمٌ يَفْرَقُونَ ٥٦

{56} "Na wanaapa kwa Mwenyezi Mungu kwamba wao ni katika nyinyi, wala wao si katika nyinyi. Lakini wao," makusudio yao katika kiapo chao hiki ni kuwa wao ni "ni kaumu wanaoogopa." Yaani, wanahofu mabadiliko ya mambo, na hakuna ujasiri katika nyoyo zao unaoweza kuwafanya kubainisha hali zao. Kwa hivyo, wanahofu kwamba wakiwadhihirishia hali zao, wanahofu kwamba mtajitenga nao, kwa hivyo maadui wakawatwaa kutokea pande zote. Na ama hali ya mwenye moyo wa nguvu, mwenye moyo imara, basi hayo yanamfanya kubainisha hali yake, sawa iwe nzuri au mbaya. Lakini wanafiki wamevikwa nguo za uoga na wakapambwa kwa vazi la uongo.