الواقعة
هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.
النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22
وَأَمَّآ إِن كَانَ مِنْ أَصْحَـٰبِ ٱلْيَمِينِ ٩٠ فَسَلَـٰمٌ لَّكَ مِنْ أَصْحَـٰبِ ٱلْيَمِينِ ٩١
{90 - 91} Na kauli yake: "Na akiwa katika wale wa upande wa kulia." Hao ndio wale waliotekeleza wajibu na wakaacha yale yaliyoharamishwa, hata kama watafanya upungufu fulani katika baadhi ya haki ambazo hazipunguzi imani yao na kumpwekesha kwao Mwenyezi Mungu, basi mmoja wao ataambiwa: "Salamu kwako uliye miongoni mwa wale wa upande wa kulia" kutoka kwa ndugu zako wa kuliani. Yaani, watamsalimu na kumuamkuwa atapowafikia na kukutana naye, au ataambiwa: Na usalimike kutokana na mapungufu, misiba na adhabu. Kwa sababu wewe ni miongoni mwa wana kuliani, ambao wamesalimika kutokana na misiba ya kuangamiza.