انتقل إلى المحتوى
Tafsir As-Saadi - Swahili · الزخرف
السورة ٤٣

الزخرف

هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.

النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22

الآيات ١–٣

حمٓ ١ وَٱلْكِتَـٰبِ ٱلْمُبِينِ ٢ إِنَّا جَعَلْنَـٰهُ قُرْءَٰنًا عَرَبِيًّا لَّعَلَّكُمْ تَعْقِلُونَ ٣

{1 - 3} Huku ni kuapa kwa Qur-ani juu ya Qur-ani. Basi akaapa kwa Kitabu kinachobainisha, na akawa ameliachilia hilo bila kulifungia, ili kuashiria kuwa kinabainisha kila wanachohitaji waja katika mambo ya kidunia, kidini na kiakhera. "Hakika Sisi tumeifanya Qur-ani kwa Kiarabu." Haya ndiyo yaliyoapiwa kwamba imefanywa kwa lugha fasaha zaidi, iliyo wazi na bainifu zaidi, na hili ni katika kubainisha kwake. Kisha akataja hekima katika hilo, akasema: "ili mfahamu" maneno yake na maana zake kwa sababu ya urahisi wake na ukaribu wake na akili.