انتقل إلى المحتوى
Tafsir As-Saadi - Swahili · النساء
السورة ٤

النساء

هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.

النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22

الآية ١٢٦

وَلِلَّهِ مَا فِى ٱلسَّمَـٰوَٰتِ وَمَا فِى ٱلْأَرْضِ ۚ وَكَانَ ٱللَّهُ بِكُلِّ شَىْءٍ مُّحِيطًا ١٢٦

{126} Aya hii tukufu ndani yake kuna maelezo ya Mwenyezi Mungu Mtukufu kukizunguka kila kitu, kwa hivyo akajulisha kwamba ni vyake “vilivyo katika mbingu na vilivyo katika dunia.” Yani vyote ni miliki yake na waja wake. Basi wao ni wamilikiwa, naye ndiye mmiliki, ambaye Yeye Pekee yake ndiye anayewaendesha. Elimu yake imezunguka habari zote, na kuona kwake kumezunguka kila kinachoonekana, na kusikia kwake kumezunguka kila kinachosikika. Na mapenzi yake na uwezo wake vinatekelezeka katika kila kilichopo, na rehema yake imeenea wakazi wa ardhi na mbingu. Na alishinda kwa nguvu yake, na ushindi wake kila kiumbe, na kila kitu kinamnyenyekea Yeye.