الزمر
هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.
النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22
بَلَىٰ قَدْ جَآءَتْكَ ءَايَـٰتِى فَكَذَّبْتَ بِهَا وَٱسْتَكْبَرْتَ وَكُنتَ مِنَ ٱلْكَـٰفِرِينَ ٥٩
{59} Mungu Mwenyezi Mtukufu alisema kwamba hili haliwezekani wala halifai kitu, na kwamba haya ni matamanio batili ambayo hayana uhakika wowote; kwani mja hataelezewa upya ikiwa atarudishwa baada ya kule kuelezewa kwa kwanza: "Wapi! Bila ya shaka zilikujia Ishara zangu" zikionyesha haki kwa njia isiyo na shaka yoyote, "nawe ukazikadhibisha na ukajivuna" kuzifuata. "Na ukawa miongoni mwa makafiri!" Basi kuomba kurudishwa duniani ni mfano wa mchezo tu. Na kama wangelirudishwa, bila ya shaka wangeyarejea yale yale waliyokatazwa. Na hakika hao ni waongo.