انتقل إلى المحتوى
Tafsir As-Saadi - Swahili · النمل
السورة ٢٧

النمل

هذه ترجمة لتفسير السعدي كما ينشرها IslamHouse.com في saadi.islamenc.com، مقروءةً من صفحات ذلك الموقع. لا يذكر الموقع من ترجمها ولا أي طبعة مطبوعة تتبعها، ولا يذكر شروطًا لأخذ نصّها، ولذلك لم يُتحقق من حق عرضها. لم يقارنها أحد بكتاب مطبوع، ولم يراجعها أحد من العلماء. يقف كل مقطع بجانب الآيات التي يعلّق عليها، وهي نص القرآن من Tanzil كما هو عنده؛ والآية التي لا يعطيها الموقع شرحًا خاصًّا بها تقف مع المقطع الذي قبلها، ويسمّي الفهرس كل آية من هذا النوع. لم يكتب سبيل شيئًا منها ولم يترجمه.

النص منsaadi.islamenc.comIslamHouse.comnone stated (the site names no licence and no terms for taking its text)أُخذ في 2026-10-22

الآية ٤٣

وَصَدَّهَا مَا كَانَت تَّعْبُدُ مِن دُونِ ٱللَّهِ ۖ إِنَّهَا كَانَتْ مِن قَوْمٍ كَـٰفِرِينَ ٤٣

{43} Mwenyezi Mungu Mtukufu alisema; "Na yale aliyokuwa akiyaabudu badala ya Mwenyezi Mungu yalimzuilia." Yaani, kuingia katika Uislamu, au vinginevyo; ana akili nzuri na utambuzi ambayo kwayo anaweza kujua haki na batili, lakini itikadi potofu huondoa ufahamu wa moyo. "Hakika yeye (Malkia) alikuwa katika kaumu ya makafiri," na akaendelea kuwa katika dini yao. Na mtu anapokuwa mmoja tu katika watu wa dini fulani na itikadi fulani inayoendelea, katika jambo ambalo anaona kwamba wamepotea na kukosea, ni nadra sana. Kwa hivyo, ndiyo maana si jambo geni kwake kuendelea kubakia kwa ukafiri.